KWA KUWA si kila avutaye SIGARA hufa na SARATANI ya MAPAFU,.....
>> Sunday, November 06, 2011
..... Lakiiiiniiiii!
Na sio kila MALAYA hupata magonjwa yaambukizwayo kwa UASHERATI,....
....... Lakiiiiniiiiii!
Na sio kila KICHAA alaye majalalani huugua kipindupindu,....
..... LAKINIIIII!
Swali:
- SI nanihii isababishayo NANIHII si kila ANANILIYE hufanikiwa kuwa na NANIHII na ndioa maaana sio kila mfanyakazi bora ana MSHAHARA MZURI na sio kiala ananiliwaye hupata MIMBA?
NI nanilii tu hiii BINGWA na wala usikonde.
Hebu AL GREEN abadili NANILII kwa ndude- Love and Happiness
Al Green kwa kuwa ni JUMAPILI kikristo adinye pia - Too close to heaven
Hebu Extra Large waingilie kati na kuturudisha ZIMBABWE kwa - Muti Wemusango
Xtra Large waongezee ya - House Girl
Wadodose ile ndude -MUROORA
Au tu hapahapa ZIMBABWE Xtra Large wazime kwa -Kushamura Newe
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment