Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MTU anajisaidia kimyakimya -ANACHOFIKIRIA!

>> Saturday, November 12, 2011

MTU anachofikiria KIMYA,...
.... labda  wala sio TUFIKIRIACHO anafikiria.:-(

Na wakati  MTU  anaongea,...
.... LABDA bado AFIKIRIACHO ,...
.... sio tufikiriacho  ANAFIKIRIA.:-(


Swali:

  • Si UNAKUMBUKA  aongeacho MTU na AFIKIRIACHO mtu  vyaweza kuwa ni vitu VIWILI tofauti na ndio maana HATA  aongeleaye SADAKA KANISANI  bado hatuwezi kuwa na uhakika kwa asilimia mia  kuwa  awazacho ni SADAKA na sio ni jinsi gani wewe mzuri uchi?

Ndio,...
.... wakati  MTU  yuko  KIMYA,...
....na wakati   ANAONGEA,....
.... ufikiriacho ANAFIKIRIA labda  hupatii KIHIVYO.:-(

Swali:
  • AU?
  • Unafikiri wakati naandika hiki nilikuwa nafikiria HIKI?
  • Unauhakika wakati unasoma hiki ulikuwa unafikiria HIKI?


Ndio,...
... ni wazo tu hili KINGUNGE!:-(

THINK DIFFERENT


Au hebu Angelique Kidjo arudie-Emma
Au tu Manu Dibango na Salif Keita warudie - Em´ma2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:11 pm  

Duh! haki ya nani leo hii umeleta bonge la wazo...maani mimi nilikuwa nasoma huku nafikiria..........hiyo deshi ujaze wewe:-)

SIMON KITURURU 7:47 pm  

@Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP