Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

...ndio HERUFI hujenga NENO na MANENO hujenga SENTENSI....

>> Wednesday, November 23, 2011

 ...... ila  maswala ya  UJUMBE,....
........ hata sentensi iwe ni ipi LABDA hilo ni swala JINGINE!:-(

 Swali:
  • Na  si  unakumbuka maswala ya UJUMBE umuhimu wake labda UNATEGEMEA apataye UJUMBE anastukia au tu anahitaji UJUMBE GANI?


Ndio,....
.....na SENTENSI zozote zile  labda zina UJUMBE,....
.... kama tu KWAKO  katika hizo unastukia UJUMBE,....
.....ingawa bado  swala la UMUHIMU wa UJUMBE HUO kwako,...
.... hilo nalo ni SWALA JINGINE.:-(
 NI wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu Zap Mama, Talib Kweli, Common wabadili kwa  - Yelling Away

Au tu Talib Kweli azime kwa-Move Somethin'

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 5:10 pm  

Leo Mt ulikuwa unawaza nini mpaka ukatupa mada ya kutafakari!

Yasinta Ngonyani 5:14 pm  

Hakika sijui umewaza nini? au kuna ujumbe umeupata na ndio maana? ...!!

SIMON KITURURU 8:24 am  

@Mkuu CHIB na Da YAS: Ni wazo tu hili Wakuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP