KIUANAZUONI usomi wa MHESHIMIWA ukiwa hauna UTHIBITISHO kuwa UHARO ni MAVI!:-(
>> Saturday, November 12, 2011
Kuna wajulikanao KISOMI ,....
.... kisa tu wanajulia NUKUU za VITABU VYA wajulikanao na WANAZUONI kuwa YAO ni USOMI maarufu.
Na kuna WASOMI wengi,...
.... kama huna kithibitisho kwa UJUACHO kianziacho KWAKO ambacho hakina PAKUNUKUU,...
... basi wewe hicho HUJUI kwa kuwa hakuna zaidi ya USEMALO ambalo halina WANAZUONI wa WAO kuwanukuu kuhusu LAKO uanzishalo.:-(Swali:
- Kwani hujastukia kuwa yasemekana USOMI wa KISASA ni lazima uwe na aaminikaye UMNUKUUYE ili kuhakikishia WANAZUONI unajua usemalo?
- Na si labda kuna USOMI maarufu ambao sio USOMI na UANAZUO wa WANAZUONI ambao si WASOMI?
Na ndio,...
.... kuna MPAKA wanaoweza kukubishia UHARO na MAVI sio vitu viwili tofauti,..
.... KISOMI.
Swali:
- Kwani unafikiri UHARO na MAVI ni kitu kilekile ila majina tu ndio tofauti hata kama sio KIUANAZUONI?
Ndio,...
.... kuna WASOMI kwa kuwa vyao ndio CHANZO,...
.... labda wasemayo KIUANAZUONI yatadiwa sio USOMI.:-(
Ni wazo tu hili KINGUNGE kichokozi!:-(
Hebu Salif Keita aanzishe upya kwa -Dankan fe
The Specials warudie - Ghost Town
Halafu 10CC wazime kwa - Dreadlock Holiday
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment