Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kijiwe kiko PUMZIKONI,...

>> Monday, November 28, 2011

...tutaonana hapa MWAKANI,....
.... kama MUNGU akipenda!


















23 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:25 pm  

imekuaje tena kuna mada ilikuwa hapa kwanini umetoa? Mwakani? unaenda wapi mbona tutakumissssssssssss sana?

Yasinta Ngonyani 3:54 pm  

Simon vipiiiiiiii hiyo picha mbona umejificha?

Simon Kitururu 3:55 pm  

Sijajificha MTU WANGU! Na ile mada ya Simon kafa ilimkwaza mama yangu! Na ndio maana nimeitoa!:-(

Yasinta Ngonyani 4:14 pm  

Mbona umevaa kofia usoni badala ya kuvaa kichwani?---Namwelewa mama kama alikwazika.

Simon Kitururu 4:15 pm  

Uso si uko KICHWANI?

Yasinta Ngonyani 4:22 pm  

uso upo usoni ambayo ni sehemu ya kichwa ila huwa haivaliwi kafia usoni..Ila sasa umeonyesha uso wako...Ahsante

Simon Kitururu 4:24 pm  

Ilibidi nikuonyeshe uso mtu wangu@Yasinta

Yasinta Ngonyani 4:25 pm  

Ahsante ila nimestukia kuwa uso wako leo hauna raha..unaonekana una huzuni.

Simon Kitururu 4:29 pm  

@Yasinta: Nahuzuni.!:-( Ungekuwa hujaolewa kunakitu ningekuomba kitiba LABDA!

Yasinta Ngonyani 4:37 pm  

Mmmmhhh! Kaazi kwelikweli...lakini kumbuka kuongea na mtu/watu naku kunaweza kutoa huzuni

Simon Kitururu 4:40 pm  

Nakubali! Ila labda huhitaji mtu kujisikia kuongelea kitu kwanza ili kuongea iwe ni kitu kifarijisho kirahisi.

Lakini ushanifariji kiasi fulani hata kwa udadisi wako tu wa swala. Asante!@Kapulya

Yasinta Ngonyani 4:44 pm  

Nafurahi kusikia umefarijika...UNA SABABU KWA KUMPUKA MPAKA MWAKANI?

Goodman Manyanya Phiri 10:22 pm  

Mapumziko kwa kila binadamu ni lazima tu! Mwakani basi!

(ILA USISAHAU HAMNA MAPUMZIKO MATAMU KUPITA YALE YANAO AMBATANA NA USOMAJI WA VITABU)

May 2012 multiply you in both wisdom and productiveness, Mr Kitururu.

Godspeed!

hansom 11:37 am  

Mungu akipenda mwakani!!! Sasa Mungu akipenda unaondoka moja kwa moja, usifanye hivyo Simon tumekuzoea. Au mada ya Simon kafa umeiondoa basi nawewe unaondoka!? Acha hizo, au ukipata hicho ulichotaka kumuomba Da Yasinta kama angekuwa hajaolewa utaamua kubakia!? Whatever the case unahitaji kupumzika Kamanda, mpumziko mema.

Rachel Siwa 4:48 pm  

Ulirudi kaka niletee thawadi thawadi nono kaka wamimiiiiiiiiiiiii

Upepo Mwanana 5:12 pm  

Kila la heri na likizo njema

Anonymous 10:15 am  

Mkuu Simon Kitururu.


Ras Lui.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 6:22 pm  

Mtakatifu Sana Baba Mtakatifu Mjua Mema na Mabaya:

Natumaini kwamba kila kitu kiko salamaa. Tutakuona utakaporudi....

Nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!

http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html

Faith S Hilary 8:59 pm  

"Mwakani" imeshafika kaka. Heri ya mwaka mpya :-)

Egidio Ndabagoye 3:32 pm  

Mtakatifu Saimoni,
Heri ya mwaka mpya 2012

Egidio Ndabagoye 3:38 pm  

Heri ya mwaka mpya Mtakatifu Simon

Yasinta Ngonyani 5:04 pm  

Simon upooooo? mwaka 2011 ushakwisha na mwaka mpya 2012 ushaanza. Tuma hata salamu kuwa u-mzima:-(

Rachel Siwa 10:01 pm  

Haya mapumziko yamezidi sasa duhhhh!kaka amka kumekucha sasa ooohh

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP