Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MATANGAZO mengine BWANA!

>> Thursday, November 17, 2011

Haya MAMBO ya UHURU hayo!!....

...kama yafanyiwavyo kazi na kampuni ya UNITED COLORS of BENETTON ....
....katika kampeni yao waiitayo``UNHATE´´

Tunakoelekea usishangae kukutana na matangazo ya kampuni za KIBONGO ya aina hii BONGO lakini!
AU?


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:00 pm  

kaaazi kwelikweli ...labda ..mmhh ngoja niachia hapa:-)

Goodman Manyanya Phiri 4:01 pm  

Imam amelishughulikia kweli lile liPapa lile!

Na ndivyo itakavyokuwa ufalme wa mbinguni ukija duniani

Benneton Oyeee!

Goodman Manyanya Phiri 7:25 pm  

Sijui kwanini Obama anapenda kuyapokea mabusu yale badala ya kuyatoa!!! (LOL!)

Msenge ni nani??? (LOL!!!)

Swahili na Waswahili 8:01 pm  

Duhh matangazo au matandazo?Dunia ya Uwaziii na maendeleo kazi kwelikweli!!!!!

SIMON KITURURU 8:49 am  

@Mkuu Goodman: DUH! Ila PAPA BENEDICT kachukia kufanywa msenge na kawashitaki jamaa kesi iko mahakamani.


@Da Yasinta na Da Rachel:Mmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP