Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKWELI labda ni KWAMBA,...

>> Monday, November 14, 2011

.... hakuna  atakaye kuweka HURU,...
.... na  kama unataka kuwa HURU kiuhuru ,....
.... hiyo ni shughuli yako MWENYEWE kujiweka HURU.:-(


Swali:
  • Si starehe JIPE MWENYEWE?
  • Kwani  unafikiri kuna  kitu  kusaidiwa kuwa HURU?

Ndio,...
.... uhuru labda ni JAMBO la kujitakia MWENYEWE,...
... kama tu ilivyo kuwa labda UHURU  ni jambo tu pia la mpaka KUJITAFSIRIA mwenyewe.:-(

Swali:
  • Kwani kwako kuwa HURU maana yake ni NINI?
  • Unafikiri TANZANIA ni NCHI huru?
  • Watanzania je?
  • Wewe je?


Ndio,...
... labda ni swala la MTU aliye huru,...
... kuwa HURU  hata katika swala la KUFICHA hayuko huru  ujue alikuwa anafanyanini MSALANI!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!
Jumatatu njema!

Hebu Toni Braxton alainishe kwa-Spanish GuitarAu tu TONI BRAXTON alainishe zaidi kwa-Unbreak MY heart

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP