Tatizo la KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA kitu!
>> Friday, November 11, 2011
Ukifikiria hata DHAMBI ,...
....halafu ukafanya DHAMBI,...
.... labda LADHA ya dhambi huongezeka CHACHU!:-(
Swali:
- Huwa unafikiria kabla ya KUFANYA kitu?
- Na hufikiri UKIFANYA bila KUFIKIRIA na UKIFIKIRIA na KUFANYA kitu kilekile UGALI labda chaweza kuwa na LADHA mbili tofauti?
Jifunze KUFIKIRIA kwanza ,....
..... na UKISHA kuwa MASTA wa KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA,...
...FIKIRIA halafu FANYA sasa ,...
.... kuna wadaio ndio WAFANYAO kwa BUSARA wafanyavyo.Swali:
- Lakini kwa KUFIKIRIA si yasemekana ndio maana mengi ya busara kama yangefanyika bila KUFIKIRIA ndio maana WENYE BUSARA hawayafanyi na kusababisha tatizo liko palepale kwa kuwa hakuna AFANYAYE TATUZI kwa kuwa wenye TATUZI kitakiwacho kufanyika KIKIFIKIRIWA kwanza HAKIFANYIKIKI?
Ndio,...
.... labda moja ya tatizo la KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA kitu,...
..... sio tu kuwa MUDA wa KUFANYA hautatosha kwa kuwa muda utatumika pia na KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA.:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Ijumaa na WIKIENDI njema MKUU!
.....
Turudi kidogo Rwanda ili Somi aanzishe tena kwa - Ingele
Au tu hapahapa Rwanda KIGALI BOYS wazime kwa -Arasharamye
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Nimepita kusalimia na kukutakia mwisho wa wiki ulio mwema.
@Edna: Asante Mtu wangu na wewe Wikiendi njema!
Post a Comment