Hamu ya KUGUSAGUSA kidogo kidude HUWEZA KUWA ndiyo ianzishayo yajulikanayo kuwa ni ya MAKUBWA ya KUSHIKASHIKA NDUDE!
>> Saturday, November 19, 2011
NDIO,...
.... LAKINI na DOGO lichukuliwalo kuwa ni LA PILI,...
... labda ndilo lilianzia kwenye lile dogodogo lile LA MOJA kikutambulika tu,...
.... kwa kuwa kiukweli labda dogo tokea mwanzo ni KUBWA!:-(Swali:
- Kwani unafikiri MAKUBWA hutokea ghafla tu kwa kawaida?
- Na katika DOGO si labda ni MTAZAMO wa MTU tu hasa kwa kuwa labda DOGO KWANGU ni KUBWA KWAKO?
Ndio,..
.... labda mpenda MAKUBWA agusagusaye DOGO ambalo laweza zaa MAKUBWA,...
.......huyo kiaina hata kama atadai sio tafakari zake dogo HILO halikuwa lamkumbusha MAKUBWA....
..........yawezekana hata kuvutiwa kwake na dogo hilo hata bila yeye kujua ni kwa sababu DOGO hilo hata kama sio kiudogo wa kugusagusa kiaina kuna kimstuacho kuwa hapo kuna lake apendalo kubwa hata kama sio lile la KUSHIKASHIKA!:-(
Swali:
- Unafikiri ukiangalia DOGO hustukii kubwa kama dogo hilo UNAHISI laelekea kuwa KUBWA?
Ndio,...
... na UWEPO wa hamu ya kugusagusa KIKUBWA kwa mwenye DOGO,...
.... inawezekana ni kwa kuwa tu kuna MAKUBWA na pia kuna kishikikacho KIDOGO!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na si lazima ulielewe!:-(
Hebu Africando waanzishe upya ili tubadili mawazo kwa - Aicha
Africando waongezee dozi kwa - Sabador La Bamba
Africando wadinye - Gombo
Halafu hapahapa Senegali Wasenegali hawa wa Africando wajaribu kuzima kwa - Yay Boy
Halafu tu BALOJI na Konono N°1 ghafla waturudishe KONGO na ndio wazime tena kwa-KARIBU YA BINTOU
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment