Jinsi jina la SEHEMU ZA SIRI za BINTI FULANI lilivyogeuka kuwa TUSI!
>> Monday, November 07, 2011
Tupo wengi tupendao sehemu za siri za mabinti fulani,...
... lakini SEHEMU ZA SIRI za wanawake tuwapendao bado KIJINA ni TUSI.
Swali:
- Na si nasikia mapaka kwa baadhi ya WANAWAKE hutumia jina la sehemu maridhawa ya sili ile ya chini ya kitovu yenye kusaidia mapaka kukojolesha binti kama TUSI?:-(
Na sehemu za siri za kike zile nizipendazo kama wengine tu wapendao kunanilii kama mimi mara kwa mara halihalisi ikiruhusu,...
.... hizo zinamajina mengi ingawa kwa bahati mbaya ili utukane KWA MAFANIKIO ,...
....sio kila jina la KIPENGELE HIKI ni TUSI.:-(
Swali :
- Si unakumbuka ili kitu kizuri kama UKE ilikigeuke TUSI labda yahitaji atukanwaye kutafsiri mpaka jina la ANDAZI kuwa sio ANDAZI kihivyo?
NDIO,...
.... labda tusi ni TAFSIRI,...
.... ndio maana maka kitafsiri za watu kipengele TAMUKUNOGA ni tusi pia.:-(
Ni wazo tu hili KAMANDA!
Jumatatu njema MKUU!
Hebu Mighty Sparrow aanzishe kwa - Wood in De Fire
Mighty Sparrow aongelee yaonglewa kuwa - Sparrow Dead
Mighty Sparrow adai - No, Doctor, No
Mighty Shadow a- Roll de Bumbalum
Shadow aachie-Obeah
Mighty Shadow amwage -Tabanka
Baron aingilie kati kwa-Come By Me
Baron adai-Sweetness is My Weakness
Au tu turudi tu TANZANIA ili Dr Remmy azime kwa-Nalilia MTOTO
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment