Labda wenzetu WAZURI na wale wenye MIAKILI SANA watuachie kwanza siye wengine NDIO tuwastukie kwanza kuwa wao ni WAZURI au ndio WENYE MIAKILI sana!
>> Thursday, November 24, 2011
YATUMIAYO AKILI SANA ,......
.....labda ni YA KAWAIDA kwa MWENYE akili,...
....a.k.a yatumiayo akili sana KWAKE ni kawaida !
Na kwa isemekanaye ni MZURI SANA,...
... labda yatakiwa UZURI wake uwe kwake ni KAWAIDA kwa kuwa umemng'ang'ania na kwake huo sio kitu cha kutia akili,.......a.k.a UZURI kaumbwanao kwa hiyo huo kwake ni KAWAIDA.
Swali:
- AU?
NDIO,...
... labda kustukia yatumiayo sana AKILI,...
... labda hiyo ni shughuli ya WENGINE ambao hustukia nani ni mwenye AKILI,...
... kama labda kama MTU ni MZURI labda hiyo ni shughuli ya wengine wastukio kwanza !
LAKINI:
- Si labda mtu akisubiria WENGINE , wengine wanaweza wasistukie anamiakili na pia haki yanani labda ni kweli yeye ni mzuri kweli hata bila nguo kitu ambacho JAMII kwa jamii IJIFUNDISHAYO miakili na UZURI wake unaweza USITAMBULIWE?:-(
Ndio,..
... kuna WENYE akili wajijuao wanamiakili WASIOTAMBULIKA na JAMII kwa kuwa jamii inakipimo tofauti cha nini AKILI SANA na usipopasi mtihani wa jamii basi weye hutambuliki,...... kama tu ijulikanavyo kuwa JAMII ikijifunza kupenda wenye tako lililopigwa pasi WAZURI wenye tako kubwa huondoka kwenye kipimo cha wazuri katika jamii kisa tako kubwa na matege kwa mbaaaaali!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu DIDO aingilie kati na kulainisha kwa-THANK YOU
Ghafla Youssou Ndour aingilie kati kwa-Medina
Halafu Youssou N'dour azime kwa -Africa, Dream Again
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment