Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nimerudi KIBANANGENGE kijiweni WAKUU!

>> Sunday, January 15, 2012

Na nimatumaini yangu wote WADAU wa kijiwe HII mnapata bado CHOO swafi MWKA HUU!


Madhumuni ya BARUA hii KWENU ni kuwatakia HERI YA MWAKA MPYA wote ile KIBONGE yani!

PAMOJA SANA Mwaka HUU!
-Simon
Hebu Manu Dibango & Ladysmith Black Mambazo watekenye- WimowehHalafu MDADA wa KIETHIOPIA yule MEKLIT HADERO adinye pia kilainisho -Leaving Soon


Au tu  halafu Sister PHUMI asigine na kujaribu kuweka nukta kwa sindimba-AFRICA
Halafu tu The Temptations ndio waweke nukta kwa FANKY ile ya kwenye   kidude-Shakey Ground


12 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:25 pm  

Ni furaha kusikia kuwa umerudi. kwani binafsi nilikumiss mno pia nilimiss kusoma uandikacho. karibu karibu karibu sana.

SIMON KITURURU 1:34 pm  

Asante YASINTA nimekumisi pia sana tu!:-(

Yasinta Ngonyani 1:55 pm  

-:(

mumyhery 2:53 pm  

Shukran, Heri ya Mwaka Mpya nawe pia, Karibu tena!!!

EDNA 5:30 pm  

Karibu tena wangu,maana kijiweni palidodaaa.Heri ya mwaka mpya kwako pia.

Yasinta Ngonyani 6:35 pm  

Nimerudi tena nimesahau kusema KHERI SANA YA MWAKA MPYA 2012 ..nilikuwa na shauku ya kubwa kuona umerudi hapa:-)

Mija Shija Sayi 12:06 am  

Tunashukuru Mungu bado tunapata Choo safi...wewe je?

Tunashukuru umerudi salama salimi. Heri ya mwaka mpya Mtakatifu.

sam mbogo 2:07 am  

Karibu sana ,kijana,watu wanakulilia sana kwa kupotea kwako. nafikiri likzo yako ilikuwa dangachee,wekelea kanyau. umenikumbusha band ya banangenge na wimbo wao,Belinda. kheri ya mwaka mpya2012. kaka s

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 8:02 am  

Karibu tena Mtakatifu. Bila shaka kuna mengi uliyokuja nayo. Tunayasubiri.

Natumaini kwamba mwaka mpya ulikukuta salama huko ulikokuwa wewe pamoja na wapendwa wako. Karibu sana !!!

Goodman Manyanya Phiri 6:57 pm  

Nami naungana na Wadau kufurahia rejea yako kwenye shoka...maana yake kila mtu na mzigo wake, Bwana; na siku haswa ya kupumzika ni kule kaburini!


Naamini umerudi kwa nguvu mpya. Na Mungu akubariki uwe na uwezo wako wa kawaida na zaidi mwaka huu!

Hongera sana tena, Simon; kwa blogu ya kuvutia!

Yasinta Ngonyani 11:08 am  

Mtakatifu umekuja kuwatamanisha tu watu na kuondoka tena?

SIMON KITURURU 4:48 pm  

Asanteni wote jamani !Pamoja Sana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP