Katika TASNIA ya KIFICHO ile ya MHESHIMIWA kuonea aibu anachowaza HADHARANI!
>> Thursday, January 26, 2012
Kuna tasnia ya AIBU,...
....NA LABDA ILE AIBU ya kuonea aibu hata UNACHOWAZA,....
....NA LABDA ILE AIBU ya kuonea aibu hata UNACHOWAZA,....
.....kisijulikane unakiwaza HADHARANI bila sababu MAALUMU!:-(
Swali:
- AU?
Ndio,...
....na LABDA KUNA KITU katika yasemekanayo HATA katika kila KITU,....
... kama katika ya kila KITU,....
.... inahitajika kukisema katika HADHARA fulani hata kama HADHARA yako ni BAFUNI wakati unaoga na UKO PEKE YAKO kisa unakionea aibu ingawa wakati huo hicho ndicho KILA KITU!:-(Swali:
- AU?
- Kwani haujui kikusumbuacho rohoni moja ya dawa ni kukitamka?
....labda BAFUNI ukiwa peke yako ni MUHADHARA,...
.... na peke yako kwenye kelele za maji SEMA KWA SAUTI utoe DUNGUDUNGUDUNGUNYIKO ROHONI kwa kuwa hapo bafuni ni HADHARA yako ya kuongelea ambacho bado huna nguvu yakuongelea hadharani katika hata swala la kwanini chupi yako na sio MAWAZO YAKO ,...
....ghafla NDIO inachafuka zaidi NANIHII kuliko zamani INGAWA bado wataka hiyo iwe siri yako kwa watu walio HADHARANI kwenye wambea, WAZAZI uwaheshimuo mpaka kwa mpenzi wako kibogoyo bado wadhani ni busara iwe SIRI kwa siri ili utunze woga wako uliouzoea wakutotaka kuchafua NANIHII!:-(Swali:
- Unabisha?
- Na si unajua kuchafua hata hali ya hewa kimawazo au kiushuzi maranyingi ni tatizo kubwa kisaikolojia kwa alipaye uzito chafuo hasa kwa kuwa kwa wengine labda wala sio CHAFUO?
Ndio,...
.... LABDA kuna tasnia za watu zilengazo ya KUONEA AIBU WATU ambayo usipoona aibu utatia AIBU kisa maswala tu ambayo JAMII imejijengea mpaka YAFANYA WANAJAMII BAADHI WALIO WENGI wanawazo MPAKA la kuficha ndani ya CHUPI YA MAWAZO yale MAWAZO yahitajikayo kuwa UCHI HADHARANI katika jamii,....
.... kwa kuwa ETI labda TU labda visivyosemwa HADHARANI ili MHUSIKA ATUNZE ADHANIAVYO NI HESHIMA hadharani,....
.....na labda ndio MAANA kuna watu wanaendelea KUFA BILA SABABU SASA HIVI PIA kisa WAVIJUAVYO WANAAIBU navyo HADHARANI na wanajiheshimu navyo ambavyo visingewaua ila wanavionea AIBU ,.......ila VYAWAUA kwa kuwa WAHESHIMIWA wale WAATHIRIKA wawaheshimuo ,...
.....kwa matendo yao yametabiri YASIYOHESHIMIKA ni NINI- na yawafanya WAATHIRIKA wajisikie AIBU mpaka KUFA kwa yatibikayo kisa WANATAKA waheshimike KATIKA JAMII YA wawaheshimuo!:-(
Ni wazo tu hili NGULI!
Siku Njema Mkuu!
Hebu Al Green abadili tena kwa KURUDISHA old schooL soul ile-Tired Of Being Alone
Al Green aongezee ndude-Love and Happiness
Halafu Aretha Franklin aongezee dozi kwa -Chains of FOOLS
Aretha Franklin alainishe kwa makali-Respect
Ila tu hebu SHAGGY , RIHANNA na Mr BEAN wajaribukuzima kwa -Bombastic
Au tu SHAGGY mwenyewe ndiye azime kwa-Boombastic
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment