Wakati bado TUNAPENDA yale MAJIBU tuyapendayo!
>> Thursday, January 26, 2012
Ndio unaweza kubisha,...
.... LAKINI,...... labda ni kweli WATU WENGI hata UWAJUAYO hawapendi MAJIBU TU,...
... ila KIPENZI ``KIJIBU ´´ kwao ni MAJIBU wasiyoyajua,...
... na ila MAJIBU ni yale AMBAYO yanaegemea kwa wayaaminiyo ndiyo MAJIBU HAAAASAAAA kistaili ya WAAMINIVYO,...
.... kitu kifanyacho katika ukweli wa ni nani kiudaku ni CHANGUDOA waaminio hata KIHISIA TU kabla ,.........kuwa ni CHANGUDOA,...
.....watafurahia au hata kukubaliana nawe KIRAHISI ni CHANGUDOA hata kama hakuna USHAHIDI yule umsemaye ni kweli ni CHANGUDOA ambaye tayari wanahisi ni CHANGUDOA.
Swali:
- SI ni kweli hata kama majibu ni ya kihisia tu na hatuna uhakika kiushahidi au KISAYANSI- majibu yakaayo KIKRISTO yanaweza furahisha kama sio kukubalika na WAKRISTO kama tu yale MAJIBU ya KIISLAMU yawezavyo kukubalika na WAISLAMU kama sio kuwafurahisha hata kama hayana UTHIBITISHO?
Ndio,...
...labda TUNAPENDA majibu tuyapendayo,...
.. na kwa MLEVI majibu yafagiliayo ULEVI hunoga zaidi kuliko yale yaonao WALEVI kuwa mambo zao DUKINAA tu!:-(
Swali kiaina:
- Hivi enyi wachawi WA TANZANIA mbona Hamsifiwi wakati fani yenu ya KICHAWI ni imara tu tokea enzi za mababu TANZANIA na wengi wenu HAMJITOKEZI kunenepea fani yenu ilivyo nene TANZANIA mpaka muwe mnaumiza tu?
- Halo MCHAWI hivi kweni MAZERUZERU mnawafanyia nini kikweli?
... jibu la nililouliza hapo juu naweza KUOGOPA JIBU,...
... ila NIMEULIZA!:-(
Ndio,...
... ni wazo tu hili MHESHIMIWA Kibanangenge!
PAMOJA SANA BANDUGU BAPENDWA!
Hebu tubadili kidude kwa msaada wa Bi KIDUDE kwa kuanzisha upya kwa -KIJITIBi KIDUDE azime tena kwa-AHMADA
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment