Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jinsi ya kuanza KUKALISHA Mawazo sio KIBIBLIA!

>> Monday, January 23, 2012


Kuna MKAO fulani MAWAZO yako yamekaa,...
... hata kama hayajakaa KIPAGANI au KIKURUANI!


Swali:
  • AU?
  • Si yasemekana kunawasahauo kuwa mawazo yao labda yameegemea MRENGO fulani?

Ndio,...
.... labda kukalisha MAWAZO ni jambo MTU ajifunzalo tu,.....
.... na kuna uwezekano MAWAZO ya mtu hata yale yasiyokaa KIKURUANI au KISABATO bado yamekaa tu MKAO fulani ambao LABDA   ni wa KIVYAKOVYAKO!


Ndio,...
... ni WAZO tu hili MHESHIMIWA!
Jumatatu NJEMA Mwayego!


Hebu Mighty SHADOW arudishe makalipso katika -Universal Language
Mighty Shadow aongezee-I wishThe Mighty Shadow atekenye pia - Doh Mix Meh UpHalafu ghafla Mrisho Mpoto na Maunda waturudishe Tanzania kwa pini - Samahani Wanangu3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:24 pm  

jumatatu njema nawe pia:-(

EDNA 6:27 pm  

Nimeipenda hii picha, kama vile unaongea na hiyo sanamu na sanamu naye anaonekana kama anakusikiliza kwa umakini lol..

SIMON KITURURU 11:33 pm  

@ Yasinta: Asante Kimwana!
@Edna: Asante Mamiii!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP