Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UPOLE!

>> Sunday, January 22, 2012

UPOLE  labda ni ni SANAA tu ya kuficha HASIRA au tu HAMAKI!

Swali:
  • AU?
Ndio,...
...LABDA upole wa MTU ni tafsiri yako tu!


Ni wazo tu hili BINGWA!
Jumapili njema MHESHIMIWA!
Hebu KASSAV waingilie kati tena kwa -Ave'w DoudouHalafu Ambelique azime kwa - New Sheriff In Town


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:09 pm  

Upole:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP