Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Stori za MTOTO Mzuri avutiaye KWA MBALI kwenye BAA kabla HUJAONGEANAYE!

>> Thursday, January 26, 2012

Kuna MTOTO MZURI kwenye baa ambaye anavutia kabla hujaongea naye hata KITAFSIDA!
Ila kuna MAMBO labda ongea na mtu NA utasahau mwanzo mapaja, KIFUA CHAKE KAMA SIMBA au sura yake ilikuwa ndiyo SUMAKU kimvuto ili uongee naye hata kuomba ambayo kimajina ni mazuri hasa bila kuya ita- KITAFSIDA!

Swali:
  • Kwani hujastukia kwa mbali MVUTO unaweza kuuawa  na kusikiliza AVUTIAYE anaongea NINI baada ya kumsogelea?
  • Na si ushastukia saa nyingine  ni MIAKILI au TABIA zijitokezazo kwenye UONGEAYENAYE na wala SIO kwenye ndoto za utakaye kuongea naye - ndizo huua MVUTO wa MTOTO MZURI yule kwa nje anakalio kama malaika au MHESHIMIWA ambaye akifunga mdomo unakuwa unauhakika anamiakili na masuluhisho kuliko BULICHEKA na suluhisho la kujenga NYUMBA juu ya MTI?


Ndio,...
... fantansi zako hata za Rais KIKWETE  wa jamuhuri wa muungano wa TANZANIA labda zinamvuto zaidi kabla HUJAMSIKILIZA ,....
.....na ukimsikiliza ASKOFU TUTU kama tu BABU wa LOLIONDO na SHEKHE YAHYA waweza kuhitimisha labda SURA ni NZURI kuliko waongeleayo!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Siku NJEMA!


Hebu OffSide Trick na Baby J warudishe tena kidude- Kidudu Mtu
OFFSIDE TRICK waongezee kipele-FATAKI
OFFSIDE TRICK waongezee SHUGHULI kwa-Samaki


Halafu hebu OFFSIDE TRICK na Mzee Yusuph wazime tena kwa jipu lawalawa-BATA
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:25 pm  

Labda ni kweli...Kweli hapo ni mawazoni. Bonge la wazo:-)

EDNA 3:42 pm  

Hiyo video ya fataki imenifurahisha.Wikiendi njema mtu wangu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP