Eti kuna watakao BABA kwenye MUME kama wageuzao MKE kuwa kama MAMA YAO!
>> Sunday, January 29, 2012
Ndio,...
.... inawezekana kuna wake za watu ambao MME kageuka BABA na wala sio MPENZI wala rafiki,....
..... kama tu isemekanavyo kuna MIDUME kwa MKE inadeka kama MKE ni MAMA na sio limpenzi!:-(Swali:
- Unabisha?
Ndio,....
.....UNACHOTAFUTA,.....
...... saaa nyingine unaweza kuwa unacho ila umekigeuza na wakummtongoza umemgeuza DADA au KAKA ambayo ni hatua ya mbali zaidi ya ile BINAMU nyama ya HAMU!:-(
Swali:
- Unabisha?
Ndio,...
......UNACHOTAFUTA,....
.... saaa nyingine unaweza kuwa unakitafutia kwenye FIRIGISI wakati kiko kwenye MCHICHA ambao UNAO.:-(
- Unabisha?
- Unauhakika kwako BABA ni BABA, Mama ni MAMA na RAFIKI sio PADRE kama HAUSIGELI /Hausiboi alivyo kisiri ni MPENZI?
Ndio,...
.... kuna wageuzao ,....
..... ambacho KIPO hata kifudifudi MBELE ZAO!:-(
Ni hilo tu na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Bassekou Kouyate arudishe mdinyo - Segu Blue
Halafu ghafla The Commodores warudishe tena kile kitu fanki kile - Brick House
Halafu The Temptations watubakize kwenye fanki na kuzima tena kwa -Shakey Ground
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Is this the SIMON ASSARO BLOG?
The same ASSARO whose father was a MOBSTER?
Is this the SIMON ASSARO BLOG?
Are you the same ASSARO in OSIRIS?
The same ASSARO in RHINOCEROS with GERAFFE ?
Post a Comment