Kabla HUJAONDOKA,....
>> Saturday, January 28, 2012
..... LABDA kuna MAHALI unaelekea TAYARI,....
..... hata kama unafikiria umekaa tu KITAKO kwenye eneo ulokalia HATA KAMA ni lile uliitalo KIGODA.
Swali:
- Unabisha?
Ndio,....
..... na KIMAWAZO,....
.....labda hata sasa hivi HAUKO ulipo hapohapo udhaniapo ndipo ULIPO!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu tupate TUKUNYEMA kutoka kwa EDDY GRANT katika -WAR PARTY
EDDY GRANT arudishe ile tukunyema-Walking On Sunshine
EDDY GRANT arudie na tukunyema-HELLO AFRICA
Adinye kiduchu tena -Gimme HOPE Joanna
EDDY GRANT atungunyue kiduchu pana zaidi ile tukunyema-Killer on the RAMPAGE
Halafu azime kwa-Living on the FRONTLINE
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment