NI rahisi KUJENGEA MIPAKA uyajuayo kama tu UWAJUAO ingawa labda uhitajiyo ni yale USIYOJUA na wale USIOWAJUA!
>> Sunday, January 22, 2012
Na siye TUSIOFITI kwenye UYAJUAYO na UWAJUAO,...
.... labda usipoangalia waweza kufikiri kwenye MAISHA yako UNATURUKA.
Ila tusiofiti na YASIYOFITI kwenye ULIMWENGUWAKO,...
... yapo tu AISEE na labda tuna na YANAKUGUSA hata kiusivyotegemea,.....
....ingawa hutustukiii hata katika tukojoayo pembeni ya BARABARA hadharani.:-(
Swali:
- SI unakumbuka YAKO na YA DUNIA YAKO labda bado nni nukta tu hata katika INSHA ya ULIMWENGU wako?
Ndio,...
... YAKO hata tukiyajumlisha na YANGU YOTE,...
.... labda kihesabu bado sio YOTE!
Na ni wazo tu hili MKUU!
Hebu turudi ANGOLA ili David Zé aanzishe upya kipengele kwa - Mwangolé(O guerrilheiro)
David Zé aongezee dozi kwa -Undenge Uami
Tuhame kidogo kwa msaada wa Stephen Marley katika kitekenyeo - Made In Africa
Halafu hebu Damian Marley na Nas wazime kwa kuchezea wimbo wa DAVID Zé katika -Friends
5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
jumapili njema mtakatifu:-)
Ndiyo maana watu husema adui wako/yako ni wewe mwenyewe. yawezekana unayo yawaza mtakatifu> kaka s.
jumapili njema, asante kwa neno
Ubarikiwe sana,J'pili njema kaka Simon mwana Kitururu!!!!!
@Yasinta:Asante mtu wangu!
@Kaka Sam:Ndio hapoo!
@Dada Ester Ulaya:Asante na Karibu Sana!
@Dada Rachel:Asante na ubarikiwe wewe pia!
Post a Comment