....labda MTU hawezi kusema kaona aibu ya kuchungulia kabla ya KUCHUNGULIA!
>> Saturday, January 28, 2012
Ndio,....
..... na labda AIBU za MTU ,....
.... ni MATUNDA na FUNUNU za VIJULIKANAVYO vidude kwa MTU,...
.... na aoneacho aibu mtu ,....... kwenye hicho LABDA kuna kitu ANAJUA kimfanyacho aone aibu.
Swali:
- AU?
Ndio,...
..... labda UKIONEACHO aibu,...
.... umekiona hicho hata kwa kukichungulia!
Swali la kizushi:
- Unafikiri VIPOFU hawana aibu?
- Na unafikiri VIPOFU hawaoni hata kwa jicho la ndani?
Ndio,...
...na KIPOFU huchungulia pia ,....
.....kama ukiangalia kiundani!
Ni wazo tu hili MKUU!
Jumamosi Njema MKUU!
Hebu Nit Doff aingilie kati kwa - Sunugal
Halafu Kool & The Gang waingilie kati na kurudisha -Fresh
Halafu Kool & The Gang wazime kwa -Hi De Hi Hi De Ho
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment