Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HISIA ni HALIHALISI ingawa sio lazima HISIA ni UKWELI kiuhalihalisi wa KITU!

>> Tuesday, January 31, 2012

Na LABDA ukihisi ,...
.... wewe labda UMEHISI TU na  hiyo kwako ni HALIHALISI,....
.... ingawa labda pia kuna umuhimu wa KUKUMBUKA,....
.... HISIA sio lazima ni UKWELI.

Ni wazo tu hili BINGWA!

Hebu tena SAM MANGWANA aingilie kati na kurudia mdinyo-AFRICA
Halafu Kanda BONGOMAN azime la njugu live kwakuanza na -Isambe

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP