Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kiutambulisho zaidi: MAX UHURU HERIEL KITURURU!

>> Saturday, December 29, 2012

Yeah!






Ndio,..
...ni MWANANGU wa kwanza wa KIUME ni mjuaye!
Na kama kuna  mama watoto wangu MWINGINE  ambaye sijui na MTOTO naye,...
.... NISTUE !:-)

Pamoja sana!

10 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 10:14 pm  

Hongera sana kaka wa mimi...Max mwanakwetu Karibu sana..MUNGU akubariki uwe mtoto mwema mwema kwa wazazi na watu wote!!!!!!!!!!

MAX UHURU HERIEL KITURURU!!!!!!!!!

Mija Shija Sayi 1:23 am  

Nimefarijika sana leo..Haya ndo mambo sasa...

Hongera saana kaka..

Baby Max Mungu awe nawe akuzunguke kila uonekanapo..

**Kanaonekana kalizi sana, Vipi Baba Max usiku panalalika? au ndo usiku mchana, mchana usiku?

Mija Shija Sayi 1:23 am  
This comment has been removed by the author.
Anonymous 2:06 pm  

hongera bwana (Kakombo)a.k.a Kitururu mwenye enzi mungu akajalie afya njema kakue na kaje kawe kama Kitururu babake

Simon Kitururu 8:25 pm  

Asanteni wote! Na wala sio kalizi. Ingawa naambiwa ngoma ni pale meno yakianza kuota@Da Mija

Egidio Ndabagoye 9:01 am  

Kuna mtu mmoja aliniambia kama ukizingatia sana matumizi ya "mifuko" wakina Max utawasikia kwa watu.
Hongera sana kwa bwana Max Uhuru

emuthree 10:50 am  

Nahisi sijachelewa, kukuambia hongera mkuu. Ungekuwa kule nyumbani tunasemaje;

'VAGHOSI LUSUMO, LAZULE KAYA...' Kinafuatia kigelegele, au sio?

sam mbogo 11:58 am  

Hakika ni habari nzuri na njema.karibu kwenye jumuhiya ya wa baba. Hongereni sana wewe na my wife/rafiki/mzazi mwenzio.swali la kizushi! ulijisikiaje ulipogundua mtoto wako/wenu nikidume? kaka s

Anonymous 3:17 am  

hivi simon huyo mtoto si atakuwa mtundu kama wewe na mnywaji na mzuri?

Yasinta Ngonyani 1:06 pm  

Nami naamini sijachelwa kukutakieni HONGERA SANA. Na karibu katika maisha ya ulezi...Max nakutakia afya njema sana.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP