Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Swahili Time!

>> Monday, August 28, 2006







Nimeipenda hii.Nashangaa kwanini imechukua muda hivi kuwa na saa inayoeleza muda kikwetu.Halafu ukiinunua unachangi mradi wa kamusi ya kiswahili.
Icheki hapa kwa maelezo zaidi.

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Ndesanjo Macha 3:29 am  

Sio uongo, imechukua muda mrefu sana kuwa na saa kama hii. Jamaa wa mradi wa Kamusi wameziba pengo lililokuwepo la saa ya Kiswahili.

Nitasoma tena uliyoandika kuhusu karma sutra.

Christian Bwaya 4:15 pm  

Hii saa kweli kiboko na kimsingi tunaihitaji. Kutumia saa za kigeni kuelezea saa zetu si jambo zuri. Nimependa saa hii sana, ingawa sijui ntaipataje.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP