Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Joseph Hill Wa Culture Afariki:-(

>> Tuesday, August 22, 2006

Du kwa wale wapenda reggae Joseph hill Kafariki akiwa katika ya tour Ujerumani. Mcheki hapa akikupa Ule wimbo I tried!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

mloyi 2:09 pm  

He was tired! Ndicho alichosema.
Dunia ni mapito tuu!
Amejiendea kupumzika na wa rika lake, Bob Marley, Michael Smith, Peter Tosh, Mortimmo Planno, Leonard Howell...,
Kilichobali sisi tuliobaki duniani tuishi kwa amani.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP