Kama wewe ni MSHABIKI wa MCHEZO au timu ya MATOMBO STARS!
>> Thursday, June 19, 2008
Napenda saikolojia ya washabiki au wanadini.
Unaweza kusahau!
Lakini....
Mshabiki wa timu fulani anauwezo mkubwa wa kufumbia macho mambo kibao katika kuendekeza tamutamu au chachu imnasishayo yeye na Litimu lake.
Mkristo akisha amini, HISTORIA nyingine nishai ambazo zinazunguka Ulutherani wake, zinafumbiwa macho ili kuendekeza mtazamo wa yale mazuri au yale yamtekenyao kwa mkao wa kukimbia kwenda motoni!
Nafikiri kamchezo haka , KISAIKOLOJIA, kanapatikana hata kwa wafuatao dini za kuabudu chooni.
Swali:
- Wengi si tunajifanya hatukumbuki kuwa mpenzi huwa anajamba?
- Unafikiri ni kwanini watu husimulia ushindi zaidi kuliko shule ya kushindwa?
Kama wewe mshabiki wa CHELSEA , Matombo stars,Mshabiki wa timu ya RUGBY afrika KUSINI......au mshabiki wa timu fulani tu na si lazima iwe kusini kwa mwili wa mtu,
UNAJUA HISTORIA YA TIMU UISHANGILIAYO?
Hebu tujikumbushe kakitu kidogo kutokana na vipengele viduchu kutoka katika historia za timu zifuatazo .....
DUH!
NAACHA naacha basi topiki!
Samahani natoka nje kidogo ya topiki , nikichukua nafasi kumshukuru MZEE MANENTO!
MANENTO eeh!
Asante kwa kutonitenga na sijasahau!
Hizi picha kali MKUU!
DUH!
SAMAHANI kwa wawezao KUZINGUKA!
Tulia na Montell Jordan akija na Get it on tonight
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment