KASEBA na MTAMBO WA GONGO wakumbushwa sheria.
>> Thursday, September 29, 2011
Mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Maneno Osward (Mtambo wa Gongo)wakitunishiana misuli walipokutana, Dar es salaam leo kukumbushwa sheria mbalimbali zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika jumamosi hii .
Katikati ni Katibu, wa Chama cha mchezo wa ngumi kinachosimamia mpambano huo. PST. Anton Lutta.
(Picha na habari www.superdboxingcoach.blogspot.com )
(SUPER D)
DIRECTOR
www.burudan.blogspot.com
BURUDANI MWANZO MWISHO
P.O Box 15493
DAR ES SALAAM
Phone no. 0713/0754/0787/0774/ 406938
(SUPER D)
DIRECTOR
www.burudan.blogspot.com
BURUDANI MWANZO MWISHO
P.O Box 15493
DAR ES SALAAM
Phone no. 0713/0754/0787/0774/ 406938
--
Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Mob;+255787 406930
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania
Nimetumiwa na :
RAJABU MHAMILA( SUPER D)
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment