Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LINDA na LUCY ndani ya WESTMINISTER

>> Friday, September 16, 2011

SALAM,


Urban Pulse Creative inakuletea matukio katika picha ya wawakilishi wetu kutoka Tanzania ndani ya Bunge la Vijana (YOUTH COMMONWEALTH PARLIAMENT) lililofanyika kuanzia tarehe 6-10 Septemba 2011. Tanzania Iliwakilishwa kutoka kwa Linda kapinga pamoja na  Lucy Minde. 

Motto wa Mkutano huu ulikuwa Mabadiliko ya Mazingira

Mbali na kupata fursa ya kukutana na wawakilishi wengine kutoka kwenye nchi mbalimbali za jumuiya ya Madola pia walikaribishwa kupata chakula cha pamoja  kutoka katika nyumba wa spika wa House of Commons John Bercow

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE
 
 
Wawakilishi wetu wakipeperusha bendera ya Tanzania ndani ya westminister

[Kulia] Linda Kapinga,mwakilishi wa Australia,mwakilishi wa Northen ireland na Lucy Minde

Jengo la westminister

Linda akiwa kazini

Linda Kapinga na Lucy Minde [Wawakilishi wa Bunge la vijana wa CommonWealth

Linda Kapinga,Lucy Minde na mwakilishi wa Malawi [Heather Maseko] na walinzi,nje ya nyumba ya speaker wa bunge,walipoalikwa kwa Networking Dinner

Lucy akiwa kwenye chamber westminister na wawakilishi kutoka nchi mbalimbali

DR. Shija na Wawakilishi Wetu

Mh Balozi Peter Kallaghe Katika picha ya pamoja Linda na Lucy

Speaker of house of commons

Wawakilishi wetu wakifuatilia hoja Bungeni
 

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP