Niko TANZANIA , najifunza KWA muda KIDUCHU kunanihii!
>> Wednesday, July 30, 2008
Niko BONGO nyoso , bado sijajulia.
Unawezakunipata kwenye namba:+255765855382
Usipoangalia, NITAKUJIBU!
Nikichelewa kurudi hapa kijiweni, NAOMBA MSAMAHA!
BAADAYE BASI!
22 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
wewe kaka yangu unatesa sana!!!wasalimie bongo basi.
Poa Mkuu,mafunzo mema.
Nashukuru nimepata salama zako kutoka Luihamu kaniambia mlikutana mlimani city.
vipi upo njema mstahiki Mayor?
Asanteni wote!Moja ya somo nililopata ni kwamba bongo si tambarare sana kama idaiwavyo.Vilima na milima ipo!:-(
Salamu zao Bongo,
Ukipita pale kanisani,pale tulipofunzwa kuwa kondoo wasiokata kamba,wasalimie sana.
Karibu bongo kaka simon,
Ila nina ka-blogu kangu, ni kachanga lakini naomba nisaidie tu kukaweka katika hiyo list yako hapo.
Kanaitwa http://www.mnyama.blogspot.com
ciao da venezia, visit my blog
@Jeff:Salamu zitafika!
@Kibongobongo:Asante! Nanitaweka kwenye listi.
habari yako. blog nzuri. tembelea yangua pia
@Yasinta:Mimi Mzima!Asante sana na karibu tena na tena.
asante kwa kutembele na pia kwa maoni
Simon , pita Forest uwasalimie washkaji wote huko vipi umeonana na Kusirie, Mustapha Abeid, Tumaini mark na kina Lukoo .
Joel
@Yasinta:Hakuna neno Dada.
@Joel:Nimepita Forest,Nimempata kusirie na Victor Lukoo lakini sijawabahatisha akina Mustafa na wengine. Watu wamesambaa duniani kutoka ile mitaa ya zamani.
kula bataz kamandaz hehehe
kula bataz kamandaz hehehe
kula bataz kamandaz hehehe
kula bataz kamandaz hehehe
@Aliko:Bata wengine NYAMA ngumu sana kutokana na kujitafutia sana wenyewe uji wa pumba:-)
Kitururu umebanwa naona. Blogu iko kimya! Morogoro vipi
@Bwaya:Kweli Mkuu! Nimebanwa kiduchu:-(
mkuu.
gazeti la the rastafarian linapatikana sasa.
amani kaka
@Rasta:Asante Mkuu!
Post a Comment