SIKUBALIANI na WEWE kuhusu UKOKO, dini au M-BINYO kama tu NIKUKUBALIAVYO kuhusu MAISHA!
>> Monday, July 21, 2008
WEWE si YULE!
Kuna ambacho YULE anaweza akakudanganya UKAAMINI!
:-(
Wakati unamkubalia, unaweza ukawa unauhakika ANAKUDANGANYA ingawa unapenda tu SAUTI ya SENTENSI.
Wakati unakataa , unaweza ukawa na sura ya FURAHA ingawa labda UNGEKUBALI, ungekula PILAU, kama wewe ni MPENZi wa PILAU.
SWALI:
- Unafikiri umekataa mara ngapi kuliko ulivyokubali KUONJA?
- Unafikiri unakubali kuliko KUKATAA ukiNYOLISHWA?
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Ngoja Morgan HERITAGE watukumbushe kurudi kazini katika LONGOLONGO iitwayo READY TO WORK.
au SANTANA ambaye pia amenisaidia KUPITILIZA wiki hii atukumbushe ENZI za WOODSTOCK 1969 katika SOUL SACRIFICE.
BAADAYE BASI!
AU?
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment