Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KAMA ungekuwa na DARUBINI ikuonyeshayo YAFANYIKAYO katika NYUMBA UZIPITAZO baada ya wenye nyumba kujifungia MILANGO!

>> Wednesday, September 09, 2009

Kumbuka tu,...
.... watu wajifungiapo milango ya MAJUMBA YAO,...

.... SIO LAZIMA wanajaribu kuzuia ya nje na WA NJE wasiingie NDANI.

Kumbuka tu,....
.... yapo mengi YA WATU MAJUMBANI na wala si tu yale yafichwayo chini ya uvungu wa VITANDA VYAO,..
.... na wapo wengi WAJIFUNGIAO MILANGO ili tu YA NDANI yasitoke NJE kuchekesha umati au hata kushangaza wa nje kwa jinsi hata KWA JUUJUU yatishavyo kwa UNDANI!:-(

Swali:
  • Unabisha?

NI HILO TU na kumbuka ni WAZO TU!



Ngojea MADONA abadili hali ya hewa kijiweni kwa kitu -HOLIDAY


Au tu turudi Tanzania Ali KIBA aendelee kubadili hali ya hewa kwa kitu -NAKSHI Mrembo

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:46 pm  

Simon Kazi kwelikweli kujifungia milango:-(

Mzee wa Changamoto 12:18 am  

Kisha tungekuwa na matumbo ya vioo kuonesha ulichokula utokako wakati unamdanganya mwenzako kuwa tumbo lavuruga hujisikii kula....Ingekuwa poaaa!!! Tungeona Kuku na Chipsi ilhali waliosalia home wanamanga nguna kwa limao.
Naacha

Simon Kitururu 9:13 am  

@Yasinta: :-(
@@Mzee wa Changamoto:Hiyo ingekuwa kali!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP