Hii ,bwana kitururu(mtakatifu) imekaa kiimania sana.ujumbe waweza kufikishwa kwa njia tofauti,nyingine ndo kama hizo,kupigwa kibao,kuzomewa nk. ila sina hakika kama anaweza kupigwa tena kibao. ila ukisema kiongozi mwingine,naweza nikakubaliana na wewe anaweza kuchapwa kibao. tukae tusubiri hasira za wananchi zitaishia kwanani,lini na wapi tusubiri. kaka S.
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Post a Comment