Siasa imegeuka BIASHARA FEKI na malipo yake hayatakawia kugeuka PESA za BANDIA!
>> Thursday, September 01, 2011
Kwa hiyo labda WATANZANIA inabidi kitu fulani KIGEUKE,....
......... la sivyo HATA katika BIASHARA hii ya siasa WAFIKIRIAO ni WAFAIDIKA,....
.......... siku ya siku wanawezagundua huku wamechelewa kuwa HAKUNA anayeFAIDIKA na BIASHARA hii ya kuuza dhahabu feki kwa malipo ambayo WANANCHI wakistuka yatakuwa ni ya pesa za BANDIA!:-(Swali:
- Kwani nawe ushawahi kustukia kuwa kwa wengine SIASA ni BIASHARA hata TANZANIA na KINACHOUZWA ni FEKI hasa kwa kuwa WANASIASA wauzavyo kwa WANANCHI kwenye HOTUBA zao na WANANCHI wapatacho ni vitu viwili tofauti na BIDHAA wauzayo kama ingelikuwa ni KOROSHO wananchi wakifungua kifurushi walichonunua huwa wanakutana na MCHANGA?
- Na si WANASIASA wanachosahau ni kuwa na wao wenyewe ni WANANCHI na kwa wafanyayo kwa furaha za harakaharaka baada ya muda fulani watakujakujikuta na wao WAMEATHIRIKA?
- Si unajua katika BIASHARA FEKI na malipo FEKI labda hakuna anayefaidika?
Ndio,...
..... WANANCHI wakichoka KUDANGANYWA ,...
..... wanaweza badili staili ya MALIPO kwa waungwana WATAWALA katika walichozoea kulipwa KIULAINI kwa kuuza BIASHARA FEKI.:-(
NI wazo tu hili WAUNGWANA!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Hebu Mighty Bomber aanzishe upya kwa - Proverbs
The Mighty Shadow aingilie kati kwa - Stop The Boat
Mighty SHADOW aongezee dozi kwa -Gossiper
Au tu The Mighty SHADOW amwage ndude -Shadow ting
Kabla hajamalizia kwa - Poverty is hell
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment