Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kila siku sio JUMANNE!:-(

>> Friday, November 28, 2008

Najua unaweza kuninunia leo ingawa ulinichekea jana!
Lakini aliyechacha jana anaweza akawa kachacha tu hata leo.:-(

NDIO...!
.....Leo ni Ijumaa kama unafuata kalenda alizobuni BULICHEKA!

Ijumaa njema na wikiendi njema!


Kwa MARA NYINGINE TENA ,Asanteni wadau wote ambao bado mnanitembelea hapa!

Nawaacha tena na LAGBAJA ambaye ni anonymous naye mzimia karibu kuliko wote katika AFRO BEAT... aendeleze tena FEYIN




Au tu KINGWENDU waanzishe katika MAPEPE


Asanteni WADAU wote kwa Ujumla hasa hawa mliokuwa nami juzi ya jana......

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket


Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:45 pm  

wikiendi njema nawe simon. asante kwa burudani nzuri:-) kazi kweli kweli

Simon Kitururu 3:47 pm  

@Yasinta:Asante na wewe kwa kuendelea kunitembelea.

Said Michael 2:14 pm  

Nami namalizia weekend hapa kijijini kwako mkuu. Kazi njema

Simon Kitururu 6:28 pm  

@Said: Asante Mkuu!

MARKUS MPANGALA 5:15 pm  

nyote wikendi njema!!! hee nilisahau kama kuna dhambi zinauzwa wikiendi, niliziona pale Ohio samahani sio hapo bali niliziona pale kwenye kona ya mzungu mmoja hivi. ile nyumba inawafanyakzi wa kike tu, lakini wazuri sana tatizo lao wanadhambi inawafuata nyuma kila siku sijui kwanini. PICHA ZIMEKAA SAFI SANA, MAANA hizo RASTA SIJUI LILE JANI LA NDESANJO VIPI au jamaa anajua kama unakula majaini ya chai chai halafu unaunga na kahawa au banzoka.
Haya mkuu

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP