Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STAILI NYINGINE za kucheza MIZIKI hasa YA KIAFRIKA labda haina tofauti na STAILI nyingine za WAHESHIMIWA wafanyapo NGONO!:-(

>> Tuesday, January 25, 2011

MOJA ya kitu kishangazacho katika mahusiano ya vitu VIWILI TOFAUTI  labda ni MAHUSIANO ya WATU,...

..... na  MUZIKI  hata kama hatutagusia mpaka  WATU na  KUCHEZA KWAO muziki.:-(






Swali:
  • Kwani unafikiri ungekuwa HUSIKII halafu  ukaona watu wanacheza MUZIKI usingedhania kwa mara ya kwanza hao ni VICHAA?



NDIO,...
..... SIKU HIZI kuna staili za WATU za kucheza MIZIKI,...
.... kama ukiwavua nguo ,...
.... labda wafanyacho  ni ngono tupu!:-(


NAWAZA TU kwa sauti  HAPA na usikonde MHESHIMIWA!:-(

Hebu tuangalie  watu wakicheza MUZIKI halafu kisiri tufikirie wachezao hawajavaa nguo
wakati nguli  FRESH JUMBE anarudia ndude - AMA ZAKE ama zangu




AU tulainishe kwa kucheki tu kideo wakati  BUJU BANTON anaongelea -BATTY RIDER 


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 1:40 pm  

kkhhaaaa hii kazi maana mirindimo na uchezaji tofauti!!mziki unakuwa au unashuka hasa hawawachezaji!!!!!!!!mmmmhhhhhh!
Aksante kaka Kitururu kwakunikumbusha huu wimbo!

EDNA 6:22 pm  

Hahaaaa no comment!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP