Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MLIO wa TRENI ni rahisi kustukiwa ni wa treni kwa AIJUAYE treni!:-(

>> Monday, January 24, 2011

NDIO,...
.... kuna wengi  hata kwa kuangalia PICHA YA GARI bila kujua gari ni nini na linamlio gani,....
.....wasingeweza KUSTUKIA gari linaliaje LIKIWASHWA.:-(






Ndio,....
...... ajuaye mtu AKIWASHWA huwa anahaligani,....
... kunauwezekano huyo maishani alishawahi KUWASHWA.:-(


Swali:

  • Na si inakumbukwa mlio wa GARI bado  kwa wajua ni wa GARI bado kuna watakaoshindwa  KUTAMBUA hilo ni GARI gani?






Ndio,...
.... labda ni ajuaye WALI ni nini NDIYE astukiaye  kuna wali unapikwa kwa harufu tu,...
... ingawa vichakani kuna mpaka nyoka wanukiao kama WALI!:-(



Naendelea kuwaza  MKUU,....
....na usikonde kama huelewi nagusia nini MHESHIMIWA!:-(




Hebu FELA KUTI aingilie shughuli kwa-POWER SHOW



AU tu 2PAC akatizie denge nakubadili kabisa mchezo kwa -I Wonder If Heaven's Got A Ghetto






Ndio,...
.....bado nipo!:-(



2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 7:22 pm  

Hahahahi kaka Kitururu kwa mafumbo sikuwezi!naona kweli bado upo peke yako hapo kaka!

Yasinta Ngonyani 10:30 pm  

Swahili na Waswahili! si uongo mkaka huyu kwa mafumbo ni kiboko!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP