Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

AIBU kama JUKUMU la UKUBWA!

>> Tuesday, July 07, 2009

Kua ustukie MAJUKUMU!

Kua ubanwe na MAJUKUMU,....
.....ingawa MAJUKUMU yapo tokea UTOTONI,....

.... hata kama JUKUMU KUU la mtoto ni awe MTOTO utotoni.


Kua ulazimike KIMAJUKUMU!

Kua uhisi una JUKUMU,....
.... ingawa kama huwezi JUKUMU,...
.... usiloweza LABDA sio lako JUKUMU.


Kwakuwa UNADHANI jamii inahisi ni lako JUKUMU,....
.... waweza ona aibu kwa kushindwa JUKUMU.

Na kama unalionea aibu JUKUMU,...
..... kumbuka jamii si lazima inapatia wakumpa JUKUMU.

Na kama bado unalionea aibu JUKUMU,....
.....MWANIWANE labda hilo si lako KIMAJUKUMU!

Na tukiachana na uvivu wa watu katika kukabili JUKUMU,...
.... kama umejaribu , SI mwisho wa DUNIA likikushinda JUKUMU.

Swali:
  • Au?
  • Unauhakika unalijua JUKUMU mpaka unafikiri ni lako JUKUMU?
  • Unauhakika viongozi wetu Afrika wanalijua JUKUMU?


NI wazo tu KIJEBA usitishike!:-(


Ngojea MAD LION aonyeshe asivyostukia jukumu lake kwa kuimba kibao-Shoot to KILL...


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 2:21 pm  

Wengine wanakwepa majukumu yako. We' humjui kijeba anaekwepa jukumu la usiku nyumbani kwake kwa mtu mmoja halafu jukumu hilo anaamua kulifanya mchana kwa watu zaidi ya mmoja.
Ama jukumu la ku hivyo hivyo houseboy wako anajipa mwenyewe.
Are we pamoja?

Simon Kitururu 2:32 pm  

@Papaa Fadhy: DUH! Tuko Pamoja!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP