IMANI!
>> Tuesday, July 14, 2009
Imani sio DINI,...
... na ukitaka DINI unaweza mpaka KUKUMBUKA ulianza kuishangilia LINI.
Kwa IMANI,....
....ukinuniwa bado unaweza kuamini AKUNUNIAYE baadaye atakuchekea hata kama sasa hivi BADO unampa KWININI.
Imani ni UTAAHIRA na kama unatumia akili mpaka katika maswala ya IMANI,....
..... labda hicho ufanyacho ni SAYANSI na kumbuka ukitumia AKILI swala la DINI halieleweki kama tu IMANI.

Swali:
- Hivi utaahira si unaoanishwa na mtindio wa kuelewa viletavyo maana kwa wengine KAMA VILE TU kuabudu Mbuyu, Mbuzi, Ng'ombe au tu Mungu Waupendo awezaye yote atakayewaachia binadamu kibao wafanye dhambi ili badaye awape kibano na kuwachoma moto?
NI WAZO tu KINGUNGE wala USITISHIKE!
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kaaziii kwelikweli Imani:-(
Sijatishika kingunge!
Imani ni utaahira! Kwa mtazamo wangu Sijakubaliana nawe!
@Yasinta: :-)
@Fadhy: :-)
@Chib: Imani inaweza ikawa utaahira kama haieleweki kwa kutumia akili. Utaahira si ni mtindio wa akili unao sababisha binadamu ashindwe kuelewa waelewayo na yaletayo maana kwa wengine?
Post a Comment