Maswala ya kufanikisha!
>> Saturday, June 02, 2007
Kabla sijasema......
Steel Pulse kidogo.....
Tukirudi kwenye maswala ya kufanikisha....!
Maswala ya kufanikisha ni magumu!
Ila mshikaji wangu Abdulkarim kamaliza kitu fulani cha shule........
Kwa kifupi.....
Kafanikisha.
Duh!
Halafu umegundua kuwa mfumo huu wa mambo hapa dunianni kwa kikwete na Georg Bush, unahitaji sana vyeti fulani...!
Duh!Lakini nafikiri na kujuana vilevile kunalipa.
Duh!
Eee bwana eeh?
Naomba tujuane!
Siunajua tena , vihiyo kibao wanatuongo kwa sababu hii ya kujuana!
Samahani!Labda unaamini wanatuongoza nasio kutu ongo bila za!
Lakini kabla sija sema... ngoja niache picha za jana kwenye shughuli ya Abdukarim....
Abdulkarim
Abby akimshushia pointi Chacha
Chacha akijibu
David na Abdulkarim
Lakini.....
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
AU,picha zimetulia kweli lakini hicho kinywaji AU si kizuri katika mwili wa His Majesty Haile Sellasi I.
Nuff,Nuff Respect man.
@Rasta:Kweli hicho kinywaji si kizuri
you know thats how we rock
Post a Comment