TANGAZO-MaDJ wa Bongo kuzinduwa umoja wa aina yake
>> Friday, October 24, 2008
MaDJ wakitanzania waliobobea katika fani ya upigaji muziki (U-DJ) watazindua rasmi kundi ambalo litakuwa linatoa kipaumbele suala zima la U-DJ nchini.
Uzinduzi huu wa aina yake unatrajia kuleta mageuzi makubwa katika fani ya muziki na burudani nchini Tanzania. Kundi hili limejifunza na makosa ya baadhi ya makundi ya Ma-DJ nchini na kuunda umoja wa aina yake.
Kundi hili la Ma-dj litakalojulikana kama C4 linaundwa na Ma-dj waliobobea na wenye ujuzi wa siku nyingi na wanapania kuuteka na kuleta mabadiliko nchini.
Ma-dj hawa kuonyesha kuwa wanayodhamira ya kuuendeleza U-Dj na kuleta mabadiliko, wamenunua vifaa vya kisasa vinavyotumika kimataifa kama vile SERATO na VIRTUAL DJ MIXING SOFTWARE, NUMARK HDX TURNTABLES, Pioneer CDJ1000 MK3, Technics 1200 Turntables na Denon.
Kundi hili pia lina maktaba ya muziki iliyosheheni muziki mbali mbali kwa ajili ya wateja wao.
Uzinduzi wa Ma-DJ wa C4 inatarajiwa kufanyika jumamosi 1 Novemba 2008
kwenye Ukumbi wa Little theatre kuanzia saa nne usiku.
Kutakuwa na burudani mbali mbali bila kusahau ma-dj wa C4 watadhihirisha uwezo wao wa kukamua santuri.
Kiingilio katika shughuli hii ya kukata na shoka ni kwa 10,000/- tu
Kwa maelezo zaidi wasiliana na C4 kwenye barua pepe c4unit@gmail.com.
UONGOZI WA C4 DJs UNIT
Tanzania DJs set to launch a DJ Unit in Dar es Salaam
Tanzania is soon to experience the launch of the most versatile local DJs who will take Djing to another whole new level. This most anticipated launch will mark a turn in entertainment and DJ culture in Tanzania. This is the launch of C4 Entertainment Unit in Dar es Salaam.
C4 Entertainment is a highly selective, hand-picked group of self-driven individuals yielding vastly specialized talent as DJs.
C4 Entertainment diverse roster of outstanding DJs includes both established and emerging talent representing the whole spectrum of the club scene.
C4 Entertainment aims to revolutionize Djing in Tanzania and has already acquired the latest DJ Equipment and software. For a start C4 boasts of SERATO and VIRTUAL DJ MIXING SOFTWARE, NUMARK HDX TURNTABLES, Pioneer CDJ1000 MK3, Technics 1200 Turntables and Denon.
With a music library that cuts across all the genres, C4 are fully equipped and possess the expertise needed to successfully take over DJing in Tanzania.
The launch is scheduled for Saturday 1st November 2008
at the Little Theatre from 10:00pm.
There will be a Special DJ Showcase by C4 DJs and more entertainment.
All these for only 10,000/- per head
For more information please contact C4 on Email: c4unit@gmail.com.
C4 DJs UNIT MANAGEMENT
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment