Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HISTORIA fupi ya KIRUKA NJIA!

>> Sunday, August 23, 2009

Hapo zamani kulikuwa na NJIA na LIMTU ambalo halijaruka njia.

Ikatokea siku moja HILI LIMTU likarushwa njia na mtu mmoja ajulikanaye kama BOYFRIEND/Poozeo!:-(

Na baada ya watu kadhaa WASIOJULIKANA KAMA NI VIRUKA NJIA kuendelea KULIPA MSAADA wa kulirusha njia hili LIMTU au TUSEME kwa msaada wa WAZEE wa kuchovya pamoja na WAKATASHINGO waka sababisha ghafla BINTI Johnson/Khalufani akaanza kujulikana kama ni KIRUKA NJIA kwa kuwa kuna waliochovya waongeao na WAKATASHINGO wasio na siri za kutunza siri kuwa Binti Johnson/Khalufani anahuruma na KWA MGAO hawezekani!:-(
NAWEZA KUSEMA kwa KIFUPI HISTORIA nzima ndio HIYO!
Tatizo ni:
  • Unafikiri ni kwanini ni Binti na si Kidume hujulikana ni KIRUKA njia wakati KIGOLI akiruka huwa anaruka na KIDUME?

  • Si unakumbuka kidole kimoja hakishikilii titi?[Samahani nilitaka kusema;'' Kidole kimoja hakiui chawa! '':-(]

  • Kwa hiyo si UNAKUMBUKA haiwezekani kukawa na MALAYA a.k.a KIRUKA NJIA bila msaada wa wale hasa WASIOITWA MALAYA wamtongozao na kumuonja kidude MALAYA?


NIMEACHA na kumbuka HILI NI WAZO TU MHESHIMIWA na wala sie hatujui hata kama NI kweli NA WEWE ni MALAYA/Kiruka NJIA!:-(


Ngojea hali ya hewa ibadilike basi KIBONGE kwa msaada wa Harry Enfield atukumbushe zaidi tena miaka ya elfu moja mia tisa hamsini huko UINGEREZA katika unyago uitwao- Women Keep Your Virtue



AU tu twende miaka hiyo hiyo ya Hamsini Marekani tukakutane na Duke Ellington aturudishe miaka hiyo kwa kitu -Satin Doll

Au tu Miles Davis alete tena kitu -Tutu

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:04 am  

Duh! Kaaaazii kwelikweli.

chib 11:13 am  

Stori ya kiruka njia sikuwa ninaijua. Ila kidole kimoja...., kwa nini ulikosea :-)

Simon Kitururu 2:27 pm  

@Yasinta: Si utani!
@CHIB:Nilikosea , si unajua kigugumizi tena!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP