Kuhusu swala la UZITO wa CHUPI!:-(
>> Sunday, August 09, 2009
Kuhusu swala ZIMA la kulalamikia yote ingawa ETI HATA mjanja BADO kunauwezekano hajastukia hata kwenye eneo kuna UZITO wa CHUPI kwenye UCHI!!:-(
NDIO!
Katika maisha ya binadamu kuna mengi MAZITO na unaweza kustukia uzito wa GAUNI kabla ya kugundua hata CHUPI ina uzito hata kama hausikilizwiii na UCHI:-(Kuna uwezekano mwenye UCHI bado anawasiwasi na HATA yajaayo kwenye UCHI hata kama haijulikani au hatuongelei sasa hivi UJAZO ununiao chupi hata kama kilichonuna sio UCHI:-(
Na kuna uwezekano wasiwasi wote HUU ni kama jeuri tu ya ambaye eti anafikiri wake UCHI NI MZURI ambao ni kweli HAJASTUKIA ukiupa muda HATA MDOMO utanuka ZAIDI kwa kuwa KIPENGELE ukitafsiri ni UCHI!:-(
Hivi unauhakika kwa nia yako ya kuninyima au tu KUTUNYIMA kipengele maana yake SI angalau unataka kujazia angalau UTOKO kwenye kigawio kwa kukisahau kipo au tu kwa kukitunza bila sababu na LABDA HAPA wala hata hatuongelei KIPENGELE , ingawa UNARUHUSIWA KUFIKIRIA hapa labda tugusiacho ni wako UCHI?
Swali:Na kuna uwezekano wasiwasi wote HUU ni kama jeuri tu ya ambaye eti anafikiri wake UCHI NI MZURI ambao ni kweli HAJASTUKIA ukiupa muda HATA MDOMO utanuka ZAIDI kwa kuwa KIPENGELE ukitafsiri ni UCHI!:-(
Hivi unauhakika kwa nia yako ya kuninyima au tu KUTUNYIMA kipengele maana yake SI angalau unataka kujazia angalau UTOKO kwenye kigawio kwa kukisahau kipo au tu kwa kukitunza bila sababu na LABDA HAPA wala hata hatuongelei KIPENGELE , ingawa UNARUHUSIWA KUFIKIRIA hapa labda tugusiacho ni wako UCHI?
- Unauhakika umewahi kufikiria kuwa pamoja na kuuvalisha UCHI KIFUNIKO kwa siku nyingi na hata kama sio SIKU tu leo au tu siku nyingine, ingekuwa wewe si msikiliziaye uzito wa chupi unauhakika ungesikilizia hata UZITO wa KAPTULA kwa kuwa CHUPI YENYEWE TU tayari ni NZITO ingawa unaweza KAMA tu udaivyo kibinadamu LABDA bado hujastukia hata uzito wa MATITI YAKO HATA YA KIUME au chako KICHWA?
- Unauhakika kuna mtu awezaye kukaa uchi?
DUH !Samahani kwa WAZO!
Hebu nimuachie Bob Marley afanye tena mazoezi katika -Bad CARD
Au turudi tu tena Ivory Coast ALPHA BLONDY aongelee- Brigadier SABARI
ASANTENI WADAU WOTE ingawa baadhi ni hawa kwenye picha zangu....
....MUZEE wa ARUSHA a.k.a DJ Blac ASANTE!
Hariet samahani kwa kukuzidishia Togwa....
5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Duh!
Ndo vile mkuu.
Ahsante kwa burudani kali ya Bob na Alpha.
Jumapili njema mbunge!
@Askofu Fadhy: DUH!
Kaaazi kwelikweli maana naona kweli burudani ilikoleo. Nimeshindwa kuacha kucheka Askofu Fadhy ....lol
Unafaa sana kuwa ... wa vyupa, waombe TBL tender ya kuwatangazia.
@Dada Yasinta na Mkuu CIB: DUH!
Post a Comment