Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU anayekunyima!

>> Saturday, August 22, 2009

Labda hata SASA HIVI unastukia ANAVYOKUNYIMA,....
.....kama wengine UNAOWANYIMA wastukiavyo sasa hivi UNAVYOWANYIMA!:-(


Swali:
  • AU?

NI HILO TU na ni wazo tu BISHOO au weye BINTI MARINGO!:-(


Hebu tubadili tena hali ya hewa kwa msaada wa HARRY ENFIELD akitukumbusha kitu katika-SEXIST



Au tu MC HAMMER atukumbushe kitu -Have U seen HER?

AU tu twende MIAMI kumsikiliza PITBULL akiongelea tako au tu kwa wengine akitukana katika kitu -CULO

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:23 pm  

Sisemi kitu zaidi ya Tupo pamoja!!!

Fadhy Mtanga 4:18 am  

I haven't seen her kwa sababu AMENINYIMA.

Simon Kitururu 7:35 pm  

@Dada Yasinta: Sema kitu basi jamani!:-(

@Papaa Fadhy:Kumbe huyo mchoyo eeh!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP