Leo , Jana imepita.
>> Monday, April 09, 2007
Kuna mambo ambayo tunajitahidi sana kuyapinga kama binadamu. Lakini kuna mambo hayapingiki kama sisi ni binadamu. Au niseme.....
Kuna mambo ambayo tunajitahidi sana kuyapinga kama binadamu. Lakini kuna mambo hayapingiki kama sisi ni binadamu. Au niseme.....
© Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008
Back to TOP
7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Jana imepita kwa mishemishe, sijui leo.
Kublogu kwa kutumia Picha ni mtindo mzuri sana unaleta tafsiri ya haraka sana kwa msomaji.Mimi sioni kwa nini wasomaji wako wanataka uache kuweka picha na video kama hizi.Labda waseme kwa nini hawapendi.
Shusha picha na video kwa Wingi!
Si wote walalamikao. Ila kuna ambao hunitumia ujumbe kuwa umimi umezidi nk. Naelewa hilo ila ...Asante lakini Egidio kwa sapoti.
Simon!
Kupanga ni kuchagua.
Simon,
Japo nilijipa likizo kwenye blogu, hapa sikuwa naacha kupitia. Mambo yako makubwa wa kwetu...hujambo lakini?
@Mtanzania:kweli tupu
@Bwaya:Mimi sijambo.Nafurahi kuwa hujanisahau.Na natumaini baada ya likizo unakuja na maswala babu kubwa.Kwako mimi siachi kupita.
Mzee Simon, nguo zako zinavutia sana,ni waafria wachache wanaishi maisha unayoishi,haya yote yanatokana na bidii na kujituma kufanya kazi kwa uaminifu.nasubiri hiyo siku ya kukutana na wewe na Da Mija.Jah bless.
blogu yako ni Jah bless man.
@Rasta:Naamini ipo siku tutakutana.Kuna wanablogu kibao ambao ningependa kukutananao nanatumaini siku tukikutana itakuwa bomba sana.
Post a Comment