Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIINI MACHO!

>> Saturday, May 05, 2007


Unakumbuka tuonekanavyo nijitihada tu ya tutakavyo tuonekane?

Mara nyingi mimi na wewe pale kwenye genge la nyanya la Zubeda tulipo kutana......

Tulicheza tu kiini macho!
Nikajifanya sitaki kwenda kwa mama ntili e......
Kwasababu nilikuona unatoka hotelini.....
Halafu ukajifanya unanunua nyanya ....
Wakati ukweli nikwamba unampenda kikweli Zubeda , halafu ulikuwa umeenda gengeni kumpa kauli!
Duh!
Kabla sijaendelea...ngojea nimuache Mutabarukaamwage shairi...


Sasa tukiachana na swala la Zubeda......!
Ni ukweli unaweza ukawa unanichukia!
Halafu inawezekana ninakuzingua !
Lakini .....!
Wote tuna cheza kiini macho !

Si unajua diplomasia?
Lakini bomba!

Dondoo:
Usipoelewa namaanisha nini usijitahidi sana! Hii kitu naandika , haimuhusu mtu yeyote!Niko mawazoni tu!

Mpate tena Steel Pulse... Samahani niko kwenye reggae mood!


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 4:04 pm  

Mzee Au,kwa mtazamo wangu unatufundisha kwa mbinu faulani iliyo jificha.Asante sana.Jah live.

Anonymous 2:30 pm  

Luihamu umesema sawa. Kuna mafunzo fulani ya kinamna hapa. Ni staili ya aina yake ya kufundisha kama hufundishi vile.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP