Nani kasema Jua lina zama?
>> Friday, May 25, 2007
Si ni dunia inazunguka ?
Unajua kua ni mchezo wa dunia kuizunguka jua halafu.....
Tuna lala eti halafu eti tuna......
Halafu......
Tuna.......
AU?
Dondoo za janaaaa!
Jhikoman alifanya mambooo....
Kabla Jhikoman hajaingia kazini
Mimi na Jhikoman
Zimbabwen´vibe kabla Jhiko haja ingia
Ghanan Prinsi kabla Jhikoman hajaingia
Don Cuba kutoka Cuba!
Tony Bass katika mixer
Tompura , making sure hakiharibiki kitu
Kutoka Nairobi aki sipu kitu fulani....
Mimi Nikimkaribisha......
Jhikoman kazini
Jhikoman
Kazini
Ngojea basi nikupe minong'ono ya.....
Samahani niko kazini lakini ..................
Bebel Gilberto nilitaka aku nong'oneze. Ulipata mnong'onono?
7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Da Mija ee!Salamu zilifika.
Mzee Au,
Nipo Moshi Mjini,vipi nao
na Da Mija kachukuwa Fomu.
Jhiko Man anasema nini
?
peace and love
Nipo
one... two one two microphone test
mzeee naona si mchezo hapo jana mpaka basssoul ndani ya kibanda... zidumu anasaaaa!
@Rasta:Jhikoman Bombaaa!Damija ana kura yangu
@Aliko: Wewe tu ulimisi
jumatatu jioni...ufini bado baridi au? nauliza tu:)
Jhikoman ana wimbo wake mmoja unaitwa Uongo Huo. Ule wimbo, acha tu. Maneno yake niliyaandika hapa:
http://www.jikomboe.com/?p=612
Simon: pale ulikuwa ukimkaribisha kwa kuimba au kuongea? Tuambiane, tujue kama tukupe ukatibu na pia kiongozi wa kwaya ya jumuwata:)
@Serina:Bado baridi huku:-)
@Ndesanjo:Nilikua naongea kumrudisha atupe wimbo zaidi.
Ule wimbo ni baabu kubwa
Post a Comment