Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIFO!

>> Wednesday, December 03, 2008

Kama unanisoma hapa labda uko hai!
Swali:

  • Kwani nani anauhakika WALIOFARIKI hawasomi au kukuchungulia?


Lakini...

.. tunashauriwa na wenye busara tushukuru kwa kuwa hai hata kama maisha yenyewe ni ya shida.

Swali:
  • Kwanini wengine wasishukuru kufa kama kuna kwenda mbinguni UKIFA?

  • MUNGU si ndio mwezesha yote na asipoamua hata ukitaka SIFI?

TUSHUKURU BASI kuwa hai!

Na labda ni kweli kifo si jambo la kutania hasa kama tunaogopa kufa!:-(


Naacha !
Unajua nawaza tu hapa kijiweni mkuu!


Lakini....

Ngojea WATU WATUBU kwa kufanya DHAMBI ya kumpigia kura BARRACK OBAMA....



......AU ngojea basi tujifunze kutoka kwa baadhi ya waishio na UKIMWI....

The Real Heroes of AIDS (Part 1)



The Real Heroes of AIDS (Part 2)



Unaweza kuzipata part3 na part 4 kwenye YOUTUBE kama unafikiri zinakufunza kitu kuhusu waishio na UKIMWI.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP