Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UTAALAMU wa kujisahaulisha kuwa UNAKUMBUKA mwendo wa KWENDEA chooni , kabla HUJABANWA.

>> Thursday, December 11, 2008

Hatusahau,
....viko tu UBONGONI
.

Hawasahau wakihisi ni wewe wa kuwakwamua
....... na mafanikio umebeba MGONGONI.


Hata ujisahaulishe,
...jukumu unalo MGONGONI.

Utajilaumu kichwani,
....kabla lawama hazijawatoka mdomoni.

Waliyonayo kuhusu wewe kichwani,
........yanajengeka moyoni.

S
i kosa la kichaa ukichaani,
....umahiri wa kichaa PIA watoka ubongoni.

H
uwezi jisahaulisha hali halisi kichwani,
......ukweli uko moyoni.

Labda....
ubongo unajisahau uko kichwani
Lakini,

uko kichwani.

K
wa yote mazuri na mabaya yaliyo moyoni,
.......uko kimya na HUSAHAU, uwapendao wako moyoni.

------------------------------------------------------------------------------

NAWAZA tu MKUU!
Swali:

  • Kwani unasahau hata kama umeshindwa na unajitahidi kujisahaulisha kwa KUTO kukumbuka ?

Hebu basi tubadili topiki kwa kujaribu kuwasikiliza wajadilio sababu za LIMTU JEUSI kuwa na liMPENZI, liMKE au liMME la RANGI ya KIJANI.....katika Ulterior Motives behind Interracial Dating....


Au tu LUCIANO aimbe kuhusu -ULTERIOR MOTIVE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP