SIMULIZI za titi KUBWA-chuchu HAKUNA.
>> Tuesday, December 23, 2008
Akitaka kunyonya inyonyeke ,
......labda titi lahitaji MSAADA wa chuchu hata kama maziwa hakuna.
Labda.....!,,
Mtoto mpenda maziwa kunyonya,
...atanyonya mpira hata kama chupa ya maziwa hakuna.
Uzuri wa titi dogo-CHUCHU kubwa,
.....ni ahadi ZA UWEZEKANO wa kabali ya midomo kwenye titi,
............hata kama hamu ya KUNYONYA au WAKUNYONYA bado hakuna.
Umuhimu wa titi kubwa ni nini,
.....kama angalau ahadi zipigiwazo debe na chuchu
........kuwa mtoto atanyonya hakuna?
Na ..
..ni kweli TITI ni muhimu,
.....ingawa uzuri wa TITI labda ni kilema kama CHUCHU hakuna.
Na...
...ndani ya tamaduni,
...... WAHESHIMIWA tulikuwa hatufuniki chuchu wala titi
............ na SIDILIA zilikuwa hakuna!
----------------------------------________________------------------------------------------
NAACHA!
Swali:
- Chupi KUBWA ya nini kama hata matako MADOGO hakuna?
Tupumzike kwa kurudi Tanzania kwa Mr Blue aendeleze simulizi za MAPOZI..
Au FRANKIE PAUL azungumzie ya SHUB IN...
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
AMBIERE, HABARI HII YA TITI INANIKUMBUSHA KITABU NILICHOWAHI KUKISOMA ZAMAAANI, HEBU NGOJA NIKUMBUKE KINAITWAJE?
NADHANI KINAITWAAA.......
'TITI LA MKWE'
KAMA KAWAIDA NIMEPITA KIBARAZANI KWAKO KUCHOTA MAWILI MATATU.
AMBIERE KWA MUJIBU WA KALENDA YA ABUNUWASI KESHO NI SIKUKUU YA KIRISIMASI, SIJUI UTAKUWA VIWANJA GANI, MAANA MIMI KESHO HUENDA NIKAELAKEA GONJA MAORE UKWENI KWANGU KUNA HAFLA NDOGO.
JE NIKULETEE NINI?
@Ambiere:Utalaanika UKIONA Titi la mkwe :-)
Usisahau kuniletea KISHUMBA kutoka GONJA!
Heri ya Pasaka!
Post a Comment