Labda watu WAKUBALI TU YAISHE kuwa - wanahamu saa nyingine!:-(
>> Wednesday, December 29, 2010
Swali:
- Si kwa BINADAMU kukosa hamu ni aina ya KILEMA?
- Na hata kama unafikiri hatujui , -SI labda ni kweli UNA HAMU sasa hivi?
- AU?
Kubali yaishe,...
....kwa kuwa LABDA kama hakuna hamu hata angalau ya ELIMU ,....
.....mahitaji yake hata ELIMU hayatakuwepo kinanihino,...
.....mahitaji yake hata ELIMU hayatakuwepo kinanihino,...
... kwa kuwa labda yote afanikishayo BINADAMU hutokana na hamu ya NANIHII YOYOTE hata inukayo KIAINA!:-(
Swali:
- AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Na hebu tumtembelee MZEE YUSUPH .....
Mzee YUSUPH na Zanzibar STARS warudie-NAJIAMINI
Mzee Yusuph aendelee na ndude hiihii -NAJIAMINI
Au tu mdada Carola Kinasha abadili zaidi kwa - Ujasiri
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Nimtazama mzee yuuf & his wives, mbona wanawake wenyewe hawajachangamka kama mze mwenyewe? observation tu!
@Serina: Swaligumu hilo! Na nadhani wengi majibu yetu yatakuwa ni ya kubahatisha tu sababu.
Labda kamera inawazingua au wamesikia anatafuta mke wa tatu.
Labda huchangamka zaidi chumbani .
Labda......
Nimekubali.
Post a Comment